Sherehe za Ishara na Miujiza Tanga
Sherehe za Ishara na Miujiza Tanga Na Mtumishi wa Mungu kutoka Sweden Johannes Amritzer Pamoja na SOS Mission Band Ndani ya VIWANJA VYA USANGARA Kuanzia Saa 9:00 aLASIRI HADI 12:30Jioni kila siku Kuanzia 17 JULAI hadi 21, 2013 WOTE MNAKARIBISHWA Kwa mawasiliano piga namba: 0765 951 813/ 0767 648 823/ 0714 863 801