Posts

Showing posts from May, 2013

Sherehe za ISHARA NA MIUJIZA - MWANZA

Image
WAKAZI WA MWANZA MPOOOOOOOOO   Haya tena ni SHEREHE ZA ISHARA NA MIUJIZA Pamoja na Mtumishi wa Mungu wa Kimataifa Mwinjilisti toka Sweden - Rev Johannes Amirtzer Pamoja na Band yake ya SOS PRAISE TEAM Toka Sweden   Wakati wako ni SASAAAA!! Walete Wagonjwa na wenye shida mbalimbali nao wataombewa na kupokea MUUJIZA wa KIMUNGU Kutoka kwa Mtumishi na Mpakwa mafuta wa Mungu Johannes Amirtzer - TOKA SWEDEN Ni VIWANJA VYA FURAHISHA - MWANZA JUNI 19 HADI 23, 2013 SAA 9:30 ALASIRI HADI 12:30JIONI KILA SIKU   HIIII SI YA KUKOSA MWALIKE NA JIRANI YAKO   Watasindikizwa na Waimbaji na Kwanya mbalimbali  kama vile: Upendo Nkone Philadelphia Gospel Sound, Patmo Kwaya, AIC Makongoro (KEKUNDU) NA EAGT Buzuruga nk       WOTE MNAKARIBISHWA!!!!!!!!!!!!! HAKUNA KIINGILIO  

Choosing a Life Partner Part 1- The Secret Of Relationship-

Image
     The Secret of Relationship It’s not easy choosing a life partner, it somehow complicated and sometimes hard to understand.   One thing you need to understand  we are the creator of the universe and that every wish of what we want to create will manifest in our lives . Therefore it’s very important to understand what you wish a.      What your thoughts are b.      What your feelings are Because it will manifest Inside relationship it is important to understand first who’s coming into the relationship and not your partner but first to Understand yourself . *How can you ever expect anyone else to enjoy your company?   If you don’t enjoy your own company? *Do you treat yourself the way you want other people to treat you? You need to become the solution of YOU. Don’t Like: “Now you owe me and you need to give me more” Instead give more to yourself ·          Take time off to yourself. In senses to fill yourself up to the Fullness. To wh

Happy Born Day kING Fredy Chavala- Prezzor

Image
    Umekuwa Rafiki wa Karibu, Mkalimu, Mcheshi na wenye kujitoa kufanya kazi ya Mungu. Mungu akubariki zaidi na akuongezee siku nyingi sana za kuishi huku dunuiani   We wISH yOU A hAPPY BoRN DAY FREDY CHAVALA LIVE LONG AND HAVE A BLAST      

Praise and Worship Night @ KKKT KIJITONYAMA

Image
    Okay once again wadau wote wa Taking A+ Action and Achieve your dreams Mko tayariiiiiiii Hii si ya KUKOSA KABISAA NI MKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU NDANI YA KANISA LA K.K.K.T KIJITONYAMA 24TH MAY 2013 yaani IJUMAAA HIIII Kuanzia saa 3:00 Usiku hadi Majongooo Kutakuwa na Mambo mengi na Entertainment za kukutosha kabisaaa Pokea Masong mapya kutoka kwa Mpelo Kapama Steven Wambura Allan Mwaipaja na Fredy Chavala Don"t Plan to Miss This event Special Sermon from beloved sister Nice Kennedy Topic: How to Choose the Right Life Partner Jinsi ya Kuchangua Mwenzi Sahihi wa Maisha. Pia kutakuwa na  maombezi kwa ajili ya FINALIST na wenye mahitaji mbali mbali Maombi Yataongozwa na Mch Noah Lukumai.   Pia Kwaya Mbalimbali zitakuwepo kama vile: DIT praise team ARDI Praise Team HKMU choir The HERO'S choir & K.K.K.T Kijitonyama   Kwa Mawasiliano zaidi wasiliana na 0717 955086 or 0715 0558290  

Bible Quote

Image

HIGHFLYERS BUSINESS SESSION WITH Nice Kennedy- Nicelynee

Image
When you face your fear, most of the time you will discover that it was not really such a big threat after all. We all need some form of deeply rooted, powerful motivation -- it empowers us to overcome obstacles so we can live our dreams. You have the power to change. Change is difficult but often essential to survival. You cannot expect to achieve new goals or move beyond your present circumstances unless you change. Your ability to communicate is an important tool in your pursuit of your goals, whether it is with your family, your co-workers or your clients and customers. If you do not develop the hunger and courage to pursue your goal, you will lose your nerve and you will give up on your dream. What it takes to develop a Successful Business That will help you to reach your goals in LIFE No matter what you want to Achieve or DO    In this lesson we will help you to reach your Full Potential.... Get out there and DO IT Help others ach

AG PRESS PRINTINGS OFFERS VACANCIES

Image
AG PRESS PRINTINGS Is a Christian Printing Press for all the needs of printings material and advertisement equipments such as: - Posters, Handbills, Banners, Business cards, Annual Reports, Newsletters,   Magazines, Books, Calendars, Flyers, T-shirts, Envelopes, Cd Covers, Labels, Stickers, Accounts Books, Pens, Diaries etc Ag Press Printings for: - TIMELY AND QUALITY PRODUCTS We guarantee your Satisfaction   AG PRESS PRINTINGS OFFERS VACANCIES   To mention posts: - Secretary/ Administrator, Sales and Marketing/ and Graphics Designer Valid to 15/5/2013 Secretary/ Administrator – 1 Post Qualifications: 1.        Born again Christ 2.        Age between 25 to 45 years old 3.        Certificate Secretarial Course and Above   4.        Computer Skills – Microsoft Words 5.        Sharp 6.          Punctual 7.        Flexible 8.        Team Working 9.          Nice Personality Graphic Designer – 1 Post Qualifications: 1.        Born again Chris

Essence Magazine with OPRAH & TYLER PERRY

Image
Dont Miss Your Copy

Plasm 18:32

Image

Shilo Deliverance Centre

Image
Huduma ya shilo deliverance Ni huduma ya ukombozi na uponyaji   yenye lengo la kuwafungua watu   kutoka vifungo vya shetani , magonjwa na umaskini. Kiongozi wa huduma   ni mtume Lazaro Mwansansu   fika kimara Resort Ukitoka Ubungo kwenda Mbezi luis utashukia kituo cha Kimara resort na upande wa kushoto   mita 100 utaona hema kubwa Karibu na Mungu akubariki sana Acha kuteseka njoo Ukombolewe