WOTE MNAKARIBISHWA- MANNA TABERNACLE CHURCH
Pastor Carol Kirimbai - Mwenyeji
Anakukaribisha wewe pamoja na familia yako katika Ibada Takatifu ya kumsifu na kumwabudu Mungu Jumapili hiii
Katika kanisa la MANNA TABERNACLE BIBLE CHURCH
Mahali: SHULE YA MSINGI KISUTU
MTAA WA KISUTU (POSTA MPYA)
Muda: Saa 4:00 asubuhi- 7:00mchana
Wote Mnakaribishwa
Comments