Sherehe za ISHARA NA MIUJIZA - MWANZA
WAKAZI WA MWANZA MPOOOOOOOOO Haya tena ni SHEREHE ZA ISHARA NA MIUJIZA Pamoja na Mtumishi wa Mungu wa Kimataifa Mwinjilisti toka Sweden - Rev Johannes Amirtzer Pamoja na Band yake ya SOS PRAISE TEAM Toka Sweden Wakati wako ni SASAAAA!! Walete Wagonjwa na wenye shida mbalimbali nao wataombewa na kupokea MUUJIZA wa KIMUNGU Kutoka kwa Mtumishi na Mpakwa mafuta wa Mungu Johannes Amirtzer - TOKA SWEDEN Ni VIWANJA VYA FURAHISHA - MWANZA JUNI 19 HADI 23, 2013 SAA 9:30 ALASIRI HADI 12:30JIONI KILA SIKU HIIII SI YA KUKOSA MWALIKE NA JIRANI YAKO Watasindikizwa na Waimbaji na Kwanya mbalimbali kama vile: Upendo Nkone Philadelphia Gospel Sound, Patmo Kwaya, AIC Makongoro (KEKUNDU) NA EAGT Buzuruga nk WOTE MNAKARIBISHWA!!!!!!!!!!!!! HAKUNA KIINGILIO