Shilo Deliverance Centre



Huduma ya shilo deliverance
Ni huduma ya ukombozi na uponyaji  yenye lengo la kuwafungua watu  kutoka vifungo vya shetani , magonjwa na umaskini.

Kiongozi wa huduma  ni
mtume Lazaro Mwansansu

 fika kimara Resort
Ukitoka Ubungo kwenda Mbezi luis utashukia kituo cha Kimara resort na upande wa kushoto  mita 100 utaona hema kubwa

Karibu na Mungu akubariki sana
Acha kuteseka njoo Ukombolewe

Comments

Popular posts from this blog

Benny Hinn Wedding Ceremony Pictures

Mkutano wa Injili na Semina ya Pasaka