Mfahamu mtunzi na Mwimbaji wa Katika Nyumba Ya Bwana

Mfahamu Mtunzi (Compser and Singer of) wa "Katika Nyumba ya Bwana" -  Amani Isaayiah Kapama
 Fahamu mambo mengi zaidi yanayomhusu Msanii huyu wa Nyimbo za Injili (Gospel Atrisit) na Mpiga Drums Nzuri sananaaaaaaaa
Hiii ni Sehemu Ndogo ya News of Victory Magazine, Na Kipengele hichi kinaitwa Gospel Artisit
Soma Zaidi News of Victory Magazine Edition no o5 kupata habari zaidi
 

Kwa kweli nabarikiwa sana naposikiliza nyimbo za mwana muziki huyu kwani viwango vyake ni International kwanzia upigaji wa drums, piano,gitter, uimbaji na mistari....
Support Amani Isaayiah Kapama kwa kununua CD yake
Kwa mawasilano zaidi mpigie :- +255 712 158448

Comments

Popular posts from this blog

Benny Hinn Wedding Ceremony Pictures

Mkutano wa Injili na Semina ya Pasaka