Mtumishi wa Kwanza kumiliki HELKOPTA Tanzania

 
Mtumishi wa kwanza Tanzania kumiliki Helkopta
Si mwingine Bali ni Mhe Dr Nabii GeorDavie (MAESTRO) - ARUSHA KISONGO
Soma zaidi Kwenye Magazine ya NEWS OF VICTORY 5TH EDITION

Mhe Nabii GeorDavie akiwa na familia yake. Mke wake Anna na watoto wao Nisher Davie, Mona Davie na Kenny Davie.

Mhe Dr Nabii GeorDavie afungua Radio ya Ngurumo Ya Upako FM  na hii ni Kwa wakanda wa Kaskani...
Namshukuru Mungu nilipata kuitembelea na kurusha matangazo katika radio hii ya NYU FM 99.2.
Ni radio Nzuri sana na inavifaa vya hali ya juu na Mtumishi wa Mungu anawakaribisha watumishi wote kutangaza au kufundisha katika Radio ya NYU FM bila kuwatoza fedha
Kwa mawasiliano zaidi piga kwa NYU FM
 Call: +255 0655 992 995, +255 757 222 992
Sms Only: +255 783 099 222 na Landline +255 732 978 049




Kutoka katika madhabahu ya Bwana ndani ya Kanisa la Ngurumo Ya Upako Arusha Kisongo. Tunakuletea Matukio mbalimbali ya jinsi ambavyo kiongozi wake Mhe. Dr GeorDavie engua nguvu za giza katika matukio tafauti. Licha ya kuhubiri katika mikutano mbalimbali ya Injili ambayo imekuwa msaada mkubwa kwa wengi. Mhe Nabii Dr GeorDavie, Hutumiwa pia katika uponyaji, miujiza na ishara zisizo za kawaida.
Matukio katika picha hizi yanathibitisha Ishara, Miujiza na Mapepo yote yakisalimu amri na kutoka kwa Jina la Yesu.
Picha zingine zinaonyesha dada huyu aliyeteseka kwa muda mrefu kwa ugonjwa wa ngozi. na mwingine akifunguliwa katika vifungo vya shetani baada ya kupokea uponyaji kufatia maombi ya Mhe Dr GeorDavie.
Yapo mengi yanayodhihirisha ukuu wa Mungu kupitia mtumishi wake Mhe Nabii Dr GeorDavie. Usipoteze muda wako njoo kanisani Ngurumo ya Upako
Kisongo Arusha
kwa shida mbali mbali za maombezi wasiliana  kupitia
Namba :- 0784  315191/ 0754 315191
SMS 0765 851502 na Landline 0732 978 049


Hii ni Ratiba ya Wiki nzima ya kanisa la Ngurumo Ya Upako
Kwa maombezi na shida mbalimbali wasiliana na namba zilizopo kwenye tangazo hili...



 

Comments

Popular posts from this blog

Benny Hinn Wedding Ceremony Pictures

Mkutano wa Injili na Semina ya Pasaka