Praise and Worship Night @ KKKT KIJITONYAMA
Okay once again wadau wote wa Taking A+ Action and Achieve your dreams
Mko tayariiiiiiii
Hii si ya KUKOSA KABISAA
NI MKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU
NDANI YA KANISA LA K.K.K.T KIJITONYAMA
24TH MAY 2013 yaani IJUMAAA HIIII
Kuanzia saa 3:00 Usiku hadi Majongooo
Kutakuwa na Mambo mengi na Entertainment za kukutosha kabisaaa
Pokea Masong mapya kutoka kwa
Mpelo Kapama
Steven Wambura
Allan Mwaipaja
na
Fredy Chavala
Don"t Plan to Miss This event
Special Sermon from beloved sister Nice Kennedy
Topic: How to Choose the Right Life Partner
Jinsi ya Kuchangua Mwenzi Sahihi wa Maisha.
Pia kutakuwa na maombezi kwa ajili ya FINALIST na wenye mahitaji mbali mbali
Maombi Yataongozwa na Mch Noah Lukumai.
Pia Kwaya Mbalimbali zitakuwepo kama vile:
DIT praise team
ARDI Praise Team
HKMU choir
The HERO'S choir
& K.K.K.T Kijitonyama
Kwa Mawasiliano zaidi wasiliana na 0717 955086 or 0715 0558290
Comments