Sherehe za ISHARA NA MIUJIZA - MWANZA

WAKAZI WA MWANZA MPOOOOOOOOO
 
Haya tena ni SHEREHE ZA
ISHARA NA MIUJIZA
Pamoja na Mtumishi wa Mungu wa Kimataifa
Mwinjilisti toka Sweden - Rev Johannes Amirtzer
Pamoja na Band yake ya SOS PRAISE TEAM Toka Sweden
 
Wakati wako ni SASAAAA!!
Walete Wagonjwa na wenye shida mbalimbali nao wataombewa na kupokea MUUJIZA wa KIMUNGU Kutoka kwa Mtumishi na Mpakwa mafuta wa Mungu Johannes Amirtzer - TOKA SWEDEN
Ni VIWANJA VYA FURAHISHA - MWANZA
JUNI 19 HADI 23, 2013
SAA 9:30 ALASIRI HADI 12:30JIONI KILA SIKU
 
HIIII SI YA KUKOSA MWALIKE NA JIRANI YAKO
 
Watasindikizwa na Waimbaji na Kwanya mbalimbali  kama vile: Upendo Nkone
Philadelphia Gospel Sound, Patmo Kwaya, AIC Makongoro (KEKUNDU) NA EAGT Buzuruga nk
 
 
 
WOTE MNAKARIBISHWA!!!!!!!!!!!!!
HAKUNA KIINGILIO
 

Comments

Popular posts from this blog

PAULA WHITE HOUSES

Benny Hinn Wedding Ceremony Pictures

Mkutano wa Injili na Semina ya Pasaka