Shilo Deliverance Centre
Huduma ya shilo deliverance
Ni huduma ya ukombozi na uponyaji yenye lengo la kuwafungua watu kutoka vifungo vya shetani , magonjwa na umaskini.
Kiongozi wa huduma ni
mtume Lazaro Mwansansu
fika kimara Resort
Ukitoka Ubungo kwenda Mbezi luis utashukia kituo cha Kimara resort na upande wa kushoto mita 100 utaona hema kubwa
Karibu na Mungu akubariki sana
Acha kuteseka njoo Ukombolewe
Comments