Posts

Showing posts from March, 2013

JIPATIE MUOENEKANO MPYA KIPINDI HIKI CHA PASAKA

Image
HAPPY EASTER TO YOU ALLL FROM - CATTY BOUTIQUE Punguzo Maalumu kwa ajili ya SIKUKUU YA PASAKA USIKOSEEE NI NDANI YA CATTY BOUTIQUE Jitapatie Nguo zenye Hadhi ya kimataifa na kwa bei nzuri sanaaaa Usipoteze Muda na Hela zako kununua nguo ambazo hazina hadhi nzuri na hazidumu Pitia CATTY BOUTIQUE NA UPATE MUONEKANO WAKO MPYA NA WA UKWELIII Top za Ukweli kwa Bei nzuriii kabisaaa Skin n Top za Ukweli Top Dress au Min Dress za Ukweli Min Dress na Viatu vya ukweli Suite Classic za Maofisini na kwenye functions Dress Kali za Kupendeza mwili wowote Evening Outfit Viatu vya watoto na Nguo za Watoto pia zinapatikana kwa Bei Nzuriiii Tokelezea kama KIM- K Viatu vya Ukweliii Wababa Mpooooo???? Cotton Shirt Nzuriii na bei nafuu Mpe Mumeo kwa kumnunulia shirt zuri kwa ajili ya Pasaka ambalo litadumu kwa muda mrefu Viatu loolll sisemi nenda joineee mwenyeweee ...

Siku 40 Za Kihistoria za UDHIHIRISHO WA HUDUMA TANO

Image
HII HAIJAWAHI TOKEA NI SIKU 40 ZA KIHISTORIA ZA UDHIHIRISHO WA HUDUMA TANO (5) NDANI YA MADHABAHU MOJA   NDANI YA KANISA LA RGC - MIRACLE CENTER TABATA CHANG'OMBE APRIL 06 HADI MAY 15, 2012 TAMASHA LITAZINDULIWA RASMI 06 APRIL SAA SABA MCHANA USIKOSEEE MWALIKE NA JIRANI YAKO RATIBA NI KAMA IFUATAVYO KILA SIKU VIPINDI VIWILI SAA 8- 10 JIONI  - UJASIRIMALI SAA 10- 1 JIONI - MAHUBURU/ MAOMBEZI (UDHIHIRISHO WA NENO) WALETENI WAGONJWA NA WENYE SHIDA MBALIMBALI WATAOMBEWA NYOTE MWAKARIBISHWA NI KWA MAKANISA YOTE DINI ZOTE NA MAKABILA YOTE HII SI YA KUKOSA

KAMBI KUBWA LA PASAKA- MOROGORO MJINI

Image
Kwa kuwa alikufa na kufufka - Twaweza Kuhuishwa na Kuwezeshwa KAMBI KUBWA LA PASAKA- MOROGORO MJINI BETHELI REVIVAL TEMPLE- MWEMBESONGO March 24 hadi 31, 2013 Saa 2:30 Asubuhi hadi 12:300 Jioni siku zote Wanenaji ni 1.  Bishop Dr. B. Mtokambali (Askofu Mkuu wa TAG)     Atafundisha- Maisha na Mafunsiho ya Bwana Yesu 2. Mch. Onaeli Mdobilu     Atafundisha- Maombi na Ukombozi 3. Mch Frida Mwaipopo     Atafundisha- Utii na Utumishi 4. Mch Edison Kisimbo    Atafundisha- Kurudi kwa Bwana Yesu na Mwimbaji Neema Mwaipopo - Ataimba Raha Jipe Mwenyewe WOTE MNAKARIBISHWA

SEMINA KUBWA YA PASAKA - AMANI CHRISTIAN CENTER TABATA

Image
Usikose Siku 8 zitakazo Badilisha Maisha Mahali ni: UKUMBI WA KANISA TAG AMANI CHRISTIAN CENTER - TABATA AMANI Tarehe: Machi 24 Hadi 31, 2012 Saa: 9:30 Hadi 12:30 Jioni Wanenaji ni: Mmishenari Adam Hajj- Atahubiri (Usikosee Mafundisho mazuri ya mtumishi wa Mungu aliyebarikiwa) Bishop Lawrence Kammetta- Atahudumu Pia Waimbaji na Kwaya mbalimbali watahudumu Kwa mawasiliano zaidi piga namba: +255 784 374 026 au +255 787 010 864 Usikosee Muujiza wako, Karibu mwalike na Jirani Yako WOTE MNAKARIBISHWA Printed and Designed by AG PRESS PRINTINGS

MKUTANO MKUBWA WA KIINJILI MKOANI MARA

Image

Christian Family with Renee

Image

Basics Of Insurance with Charles Sumbwe

Image
You will just find this on News of Victory Magazine Edition no 5... It's Special for all the Christians. to Understand more about the Basics of Insurance and Benefits of Insuring that we get when we Insure our Houses, Cars, Heath, Life, Travels etc So read careful and take an Action of insuring your properties When you decide visit or Call MGen Tanzania Insurance Company Limited 3rd Floor, NSSF Water Front House, Sokoine Rd, P.O. Box 8318, Dar es Salaam, Tanzania Tel:   +255 22 212 7580/7 Tel:   +255 22 212 7589 Mobile: +255 787 233 752 E-mail: info@mgentanzania.com or :   charles@mgentanzania.com

Hon Prophet Dr GeorDavie Maestro Prayer Line

Image
Call Now : Prayer Line +255 784 315 191

Made in Tanzania Products

Image
Nachukua nafasi hii kutambulisha kwenu bidhaa mpya ya Made in Tanzania MICA PRODUCTS 1st & Best Choice Mwanadada Mjasiriamali Matilda Jacky ndiye anayetoa sabuni hizi... Ni wakati sasa Tanzania inabidi tuchukue hatua, tuthubutu kufanya Nampongeza sana Mwanamke Huyu kwani Pamoja na Kuajiliwa lakini ameona bora kuanzisha kiwanda This Products are the 1st n The Best Choice na zimeanza kupatikana kwenye maduka mbali mbali jijini Dar es Salaam na baadaye zitaenda Mikoani Best Shampoo Ever kwa matumizi ya nywele aina zotee Usiache Nyumba yako ifubae kwa kudeki na sabuni za Unga tumia sabuni maalumu ya MICA TILES CLEANER... Tumia kuoshea kwenye Tiles ndani, Chooni, Sink etc POWER IS VERY POWERFUL na inauwa vijidudu vyote vya chooni, bafuni, sinki etc Kwa maelezo zaidi wasiliana na Matty kwa namba +255 653 287 757 Penda Vya Nyumbani Kwa Kununua Bidhaa zilizoandikwa Made In Tanzania