Semina ya Kimataifa Mbezi Beach Jogoo

Usikosee kuhudhuria Mkutano wa Injili na Semina ya Kimataifa
Usikosee Muujiza wako karibu Mkaribishe na Jirani Yako
Usikosee kuja kuimba na Massanja Mkanzamizaji pamoja na Chris Mwahangila
 
Wagonjwa na Wenye Shida Wataombewa
 Mkutano Utafanyika:- TAG Mbezi Beach Jogoo
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Pastor Robert Hillary +255 713 309 992
WOTE MNAKARIBISHWA

Comments

Popular posts from this blog

Benny Hinn Wedding Ceremony Pictures

Mkutano wa Injili na Semina ya Pasaka