Mkutano wa Injili Pugu Kajiungeni

Usikosee kuhudhuria Mkutano wa Injili wewe Kijana wa Pungu na maeneo ya karibu lakini hata kwa wale wambali.
Wakati wako ni Sasa nenda kutana na Uso wa Yesu mueleeze Matatizo yako naye atakujibu
Usikosee Muujiza wako wako... Wakati wako ni sasa...
Waweza kubadilisha maisha yako na kubalika katika Yesu na kuwa na maisha mazuri zaidi na
AMANI TELE.
 
Ujashelewa Mkutano bado unaendelea
Wahi Sasa!!!
Kwa mawasiliano au maombi piga namba hizi: +255 759 494 848 au +255 652 051 626
 

Comments

Popular posts from this blog

Benny Hinn Wedding Ceremony Pictures

Mkutano wa Injili na Semina ya Pasaka