KAMBI KUBWA LA PASAKA- MOROGORO MJINI

Kwa kuwa alikufa na kufufka - Twaweza Kuhuishwa na Kuwezeshwa
KAMBI KUBWA LA PASAKA- MOROGORO MJINI

BETHELI REVIVAL TEMPLE- MWEMBESONGO
March 24 hadi 31, 2013
Saa 2:30 Asubuhi hadi 12:300 Jioni siku zote

Wanenaji ni
1.  Bishop Dr. B. Mtokambali (Askofu Mkuu wa TAG)
    Atafundisha- Maisha na Mafunsiho ya Bwana Yesu

2. Mch. Onaeli Mdobilu
    Atafundisha- Maombi na Ukombozi

3. Mch Frida Mwaipopo
    Atafundisha- Utii na Utumishi

4. Mch Edison Kisimbo
   Atafundisha- Kurudi kwa Bwana Yesu

na Mwimbaji Neema Mwaipopo - Ataimba Raha Jipe Mwenyewe

WOTE MNAKARIBISHWA

Comments

Popular posts from this blog

Benny Hinn Wedding Ceremony Pictures

Mkutano wa Injili na Semina ya Pasaka