Nabii Suguye wa WRM Kivule

 
Nabii Nicolaus Suguye pamoja na Mch Anna Suguye wanakukaribisha katika Kanisa lao la
 
WORD OF RECONCILIATION MINISTRIES (WRM)
 
KIVULE MATEMBELE YA PILI
Kila siku ya Jumapili saa 4:00 hadi saa 8:00 Mchana
 
Kutana Na Nguvu za Mungu
....................Na Maisha Yako yatabadilika
 
Pia kwa wale walio mikoni Mnaweza kumtizama kupitia king'a muzi cha Star Times
Katika Channel ya SIBUKA TV
Kila Alhamisi na Jmosi
Saa 3:00 hadi 4:30 Usiku
 
Kwa Maelezo zaidi wasiliana 0658 448 116 au 0715 448 117
 

Comments

Popular posts from this blog

Benny Hinn Wedding Ceremony Pictures

Mkutano wa Injili na Semina ya Pasaka