Made in Tanzania Products

Nachukua nafasi hii kutambulisha kwenu bidhaa mpya ya Made in Tanzania

MICA PRODUCTS

1st & Best Choice

Mwanadada Mjasiriamali Matilda Jacky ndiye anayetoa sabuni hizi...
Ni wakati sasa Tanzania inabidi tuchukue hatua, tuthubutu kufanya
Nampongeza sana Mwanamke Huyu kwani Pamoja na Kuajiliwa lakini ameona bora kuanzisha kiwanda

This Products are the 1st n The Best Choice na zimeanza kupatikana kwenye maduka mbali mbali jijini Dar es Salaam na baadaye zitaenda Mikoani

Best Shampoo Ever kwa matumizi ya nywele aina zotee


Usiache Nyumba yako ifubae kwa kudeki na sabuni za Unga tumia sabuni maalumu ya MICA TILES CLEANER... Tumia kuoshea kwenye Tiles ndani, Chooni, Sink etc

POWER IS VERY POWERFUL na inauwa vijidudu vyote vya chooni, bafuni, sinki etc

Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Matty kwa namba +255 653 287 757
Penda Vya Nyumbani Kwa Kununua Bidhaa zilizoandikwa
Made In Tanzania

Comments

Popular posts from this blog

Benny Hinn Wedding Ceremony Pictures

Mkutano wa Injili na Semina ya Pasaka